Mgombeaji wa UDA ashinda uchaguzi mdogo wa Emurua DikirrĀ 

Mgombeaji wa kiti cha ubunge wa gatuzi dogo la Emurua Dikirr katika Kaunti ya Narok kupitia chama cha United Democratic Alliance (UDA), David Keter almaarufu kama Dollarline, ametangazwa mshindi wa uchaguzi mdogo uliofanyika jana. Dollarline aliibuka mshindi baada ya kupata kura 18,266 katika uchaguzi huo uliowashirikisha wagombeaji watano. Mpinzani wake wa karibu Vincent Kibet wa…Ā Ā Ā 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *