Wakaazi wa Trans Mara Kusini wapongezwa kwa kudumisha amaniĀ 

Katibu mkuu katika Idara ya UtaliiĀ  na Wanyamapori, John Olotuaa amewapongeza wakaazi wa Trans Mara Kusini kwa kudumisha amani akibainisha kuwa maelewano miongoni mwa jamii tofauti tofauti ni muhimu kwa maendeleo endelevu na kuboresha maisha yao pia. Akizungumza wakati wa shughuli ya ugavi wa chakula katika eneo la Angata Barakoi kwa waathiriwa wa vurugu lililotokea…Ā Ā Ā 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *